Mnada nyumba tano za Kifahari Eneo la Oysterbay, DSM.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Yono ambao ni Mawakala wa kukusanya kodi ya Serikali, Scholastika Kevela amesema Kampuni hiyo inazipiga mnada nyumba tano za Kifahari Eneo la Oysterbay, DSM.
_
“Vyumba vya kuishi kwenye Block hizi tano ni 39, kuna sehemu ya Gym, Swimmig Pool kubwa n.k”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *