Mnada nyumba tano za Kifahari Eneo la Oysterbay, DSM.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Yono ambao ni Mawakala wa kukusanya kodi ya Serikali, Scholastika Kevela amesema Kampuni hiyo inazipiga mnada nyumba tano za Kifahari Eneo la Oysterbay, DSM. _ “Vyumba vya kuishi kwenye Block hizi tano ni 39, kuna sehemu ya Gym, Swimmig Pool kubwa n.k”

YONO AUCTION MART & CO LTD KWA IDHINI TULIYOPEWA NA MTEJA WETU TUNAWAKARIBISHA WADAU MBALIMBALI KUSHIRIKI KUNUNUA NYUMBA MBALIMBALI NA KIWANJA

SWAHILI YONO AUCTION MART & CO LTD KWA IDHINI TULIYOPEWA NA MTEJA WETU TUNAWAKARIBISHA WADAU MBALIMBALI ZIKIWEMO TAASISI MBALIMBALI NA WATU BINAFSI KUSHIRIKI KUNUNUA NYUMBA MBALIMBALI NA KIWANJA AMBAZO ZINAFAA KWA MATUMIZI YA MAKAZI NA OFISI. KWA KUPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA NYUMBA HIZO UNAWEZA KUANGALIA KWENYE GAZETI LA DAILYNEWS LA TAREHE 18/01/2019 AMBALO NAKALA…