YONO AUCTION MART & CO LTD KWA IDHINI TULIYOPEWA NA MTEJA WETU TUNAWAKARIBISHA WADAU MBALIMBALI KUSHIRIKI KUNUNUA NYUMBA MBALIMBALI NA KIWANJA

SWAHILI
YONO AUCTION MART & CO LTD KWA IDHINI TULIYOPEWA NA
MTEJA WETU TUNAWAKARIBISHA WADAU MBALIMBALI ZIKIWEMO
TAASISI MBALIMBALI NA WATU BINAFSI KUSHIRIKI KUNUNUA
NYUMBA MBALIMBALI NA KIWANJA AMBAZO ZINAFAA KWA
MATUMIZI YA MAKAZI NA OFISI.

KWA KUPATA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA NYUMBA HIZO
UNAWEZA KUANGALIA KWENYE GAZETI LA DAILYNEWS LA TAREHE
18/01/2019 AMBALO NAKALA YAKE TUMEIPANDISHA (UPLOAD)
KWENYE TOVUTI YETU NA MITANDAO YA KIJAMII (INSTAGRAM NA
YOUTUBE) ZIKIWEMO JINSI YA UTARATIBU WA UNUNUZI.
PIA UNAWEZA KUWASILIANA NASI KUPITIA SIMU 0754 497124 NA 0764
668451 AU KUTEMBELEA OFISI ZETU ZILIZOPO JENGO LA MAVUNO
GHOROFA YA 2 , MTAA WA AZIKIWE , DAR ES SALAAM.

WOTE MNAKARIBISHWA

ENGLISH

YONO AUCTION MART &CO LTD ON BEHALF OF OUR CLIENT WE
INVITE VARIOUS INTERESTED BUYERS OF VARIOUS PROPERTIES
LOCATED ON VARIOUS AREAS UPCOUNTRY PARTICIPATE TO BUY
VARIOUS PROPERTIES ; OF WHICH A DAILYNEWS NEWSPAPER OF 18 TH
JANUARY 2019 CONTAINING ALL DETAILS OF THE PROPERTIES ,
HAVE BEEN UPLOADED IN OUR WEBSITE AND SOCIAL MEDIA (
INSTAGRAM AND YOUTUBE) FOR REFERENCE.

FOR MORE INFORMATION YOU MAY CONTACT US THROUGH PHONE
NO. 0754 497124 AND 0764 668451 OR VISIT OUR OFFICE LOCATED AT
MAVEN HOUSE , 2 ND FLOOR , AZIKIWE STREET , DAR ES SALAAM

YOU ARE ALL WELCOME

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *